Search

289 results for Daniel Makaka. :

  1. PRIME Ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika linavyowaathiri wavuvi, wananchi

    Diwani wa Lamadi, Bija Laurent amesema wananchi wa maeneo yaliyoathiriwa na maji hayo baada ya kuongezeka Ziwa Victoria hawana chakula

  2. Wataka maandamano ya Chadema vijijini

    Wananchi wasema mijini watu wana uelewa wa kutosha, sasa chama kijikite vijijini. Mbowe asema huko ndiko wanakoelekea baada ya maandamano ya mijini.

  3. PRIME Aliyetoka jela kwa kesi ya kuua, atuhumiwa kuua tena mkewe

    Polisi mkoani Mwanza wanamshikilia Jackson Kalamji (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Bulacha (42) kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali za mwili.

  4. Mateso ya saa 8 bila umeme, Tanesco yatoa tamko

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeeleza kuwa imetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirishia umeme ya gridi ya Taifa.

  5. Fisi wanne wanaosadikiwa kuua watu wauawa Sengerema

    Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kasenyi, Juma Bupamba amethibisha kuuawa fisi hao.

  6. 'Tusikimbie tunapohamasishana kujenga kanisa la Mungu'

    Kanisa hilo linalojengwa la Parokia ya Bikra Maria afya ya wagonjwa mjini Sengerema litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kubeba waumini 1,600 kwa wakati mmoja.

  7. Watu 19 waliwa na mamba, 20 wapata ulemavu Sengerema

    Takwimu hizo zimetolewa jana Machi 2, 2024 na ofisa wanyamapori wa halmashauri hiyo, Paul Poncian alipozungumza na Mwananchi ofisini kwake.

  8. Mabaki ya mwili wa mwanamke aliyeliwa na mamba yapatikana

    Idara ya wanyamapori ikiongozwa na mkuu wa kitengo cha wanyamapori wilayani Sengerema, Paul Posian wakishirikiana na wananchi wamefanikiwa kupata mabaki ya mwili wa mwanamke aliyeliwa na mambo...

  9. Mume aeleza alivyomuona mamba akiondoka na mwili wa mkewe

    ...Nilikuwa nikimmulikia tochi ili akoge vizuri, nilipozima tochi mambo alimvamia kuondoka na mwili ambapo mpaka sasa mabaki yake hayajapatikana."

  10. Watatu wafariki kwa kushambuliwa na fisi

    Kati ya Januari hadi Februari 24, 2024 watu watatu wamefariki dunia kwa kushambuliwa na fisi wilayani Sengerema.

Page 1 of 29

Next